Rent-a's Guide ni jukwa pekee mtandaoni lililojikita kuhudumia soko la wanaopangisha au kukodisha nchini Tanzania. Limeundwa ili kurahisisha upekuzi na utangazaji wa huduma za kukodisha au kupangisha kwa watu binafsi na makampuni. Kama unatafuta kukodi gari, nyumba ya likizo, vyoo vya kuhamisha, au chochote kile, tegemea Rent-a's Guide kama mwongozo wa kupata wahudumu nchini.
Soma Zaidi: Login
Pangisha. Kodisha. Kokote Tanzania.
Saa za Kazi
J'3 hadi I'maa, 3:00 asubuhi - 11:00 jioni
© 2024 Rent-a’s Guide. Haki zote zimehifadhiwa